🛠️FundiUlipo
Huduma za ufundi Tanzania

Pata fundi karibu nawe

Tafuta mafundi wenye ujuzi kwa electronics, umeme, friji, washing machine, ujenzi, bomba, aluminium na huduma nyingine za ufundi karibu nawe.

Sokoni: Nunua bidhaa unazohitaji au uza bidhaa zako kwa kutumia akaunti yako.
Mafundi wa kuaminika
Karibu na wewe
HUDUMA

Chagua huduma unayohitaji

Chagua aina ya huduma ili kuona mafundi wanaotoa huduma hiyo.

Verified profiles Taarifa za Fundi
Local technicians Pata huduma karibu nawe
Mawasiliano rahisi Jadili kazi yako
Ratings Chagua kwa kujiamini
INAFANYAJE KAZI

Kupata msaada ni rahisi

1
Eleza tatizo

Chagua huduma unayohitaji au tafuta huduma kwa jina.

2
Pata mafundi

Linganisha mafundi kulingana na huduma, eneo na upatikanaji.

3
Panga kazi

Wasiliana na fundi na tuma ombi la huduma.

KWA AJILI YA MAFUNDI

Geuza ujuzi wako kuwa fursa.

Tengeneza profile yako ya kitaalamu na ungana na wateja wanaohitaji huduma zako.

Jiunge kama Fundi