πŸ› οΈFundiUlipo

Mafundi wa TV & Audio Tanzania

Pata mafundi wa TV & Audio waliothibitishwa kwa huduma katika maeneo mbalimbali ya Tanzania.

Mafundi Waliopo

1 fundi amepatikana
πŸ‘¨β€πŸ”§
Anapatikana
ABDTRONIC
Abdillah Hamed Mohamed
πŸ› οΈ Uzoefu: 15 miaka
πŸ“ Eneo: Kinondoni b
πŸ“ Huduma ndani ya: 10 km

Electricity and electronic troubleshooting
Nafanya wirering wa majumbani,mashuleni,hospitality,viwandani
Natengeneza vifaa vya majumbani vya umeme na kurekebisha umeme pia kama kubweka taa mafeni